inflect

vt 1 badili, geuza. 2 (gram) nyambulisha majina, vitenzi n.k. 3 pinda. 4 (phy) (of light) pindisha. 5 (mus) badili sauti. inflective adj. inflection n 1 mabadiliko. 2 (gram) unyambulisho wa maneno. 3 kupinda (nuru). 4 (mus) mahadhi. inflexible adj 1 -siopindika, -sionyumbuka. 2 (fig) -gumu, -siobadili; -shupavu; thabiti, madhubuti. inflexibility n. inflexibly adv.