infirm

adj 1 dhaifu (hasa kwa sababu ya uzee au ugonjwa). 2 goigoi, -sio thabiti, pungufu wa akili/mawazo ~ of purpose -a kusitasita. infirmity n. infirmary n hospitali; (schools etc) zahanati. infirmarian n.