infinite

adj 1 -sio na kikomo, -sio na mwisho, (maths) isiyokoma. 2 -siopimika, -kubwa sana; -ingi sana. the ~ n Mungu. infinitely adv. infinitesimal adj -dogo mno; (maths) kiduchu. infinitude n (formal) wingi usio na mwisho, pasipo kiasi. infinity n pasipo mwisho/kikomo; (maths) namba isiyo na kikomo. infinitive n (gram) kitenzijina adj -a kitenzi jina. infinitival adj.