inferno

n jehanamu, motoni; tukio la kutisha (agh. mteketeo mkubwa). infernal adj -a jehanamu; -a shetani; ovu kabisa; (colloq) baya sana, -a kuchusha, -a kuchukiza. infernally adv.