inferior

adj dhalili; -a chini, duni n mtu wa chini (kwa cheo, uwezo n.k.), udhalili. inferiority n udhalili. ~ity complex n udhalili, (hali ya) kutojiamini, kutojitosheleza.