industry

n 1 bidii ya kazi, uchapaji kazi. 2 viwanda, tasnia. industrial adj -a kiwanda. industrial action n mgomo take industrial action goma. industrial alcohol alkoholi ya viwanda industrial dispute mgogoro wa kiwanda/kazi industrial estate eneo la viwanda industrial workers wafanyakazi wa viwandani industrial states nchi za viwanda industrial relations uhusiano wa wafanyakazi kiwandani. industrial revolution n mapinduzi ya viwanda. industrialism n utasinia, mfumo wa uchumi unaotegemea viwanda. indutrialist n 1 mwenye kiwanda, mtasinia. 2 shabiki wa viwanda. industrialize vt jenga kiwanda, anzisha/endeleza mfumo wa viwanda. industrialization n ujenzi wa viwanda. industrious adj -enye bidii ya kazi, -chapakazi.