induct

vt ~ somebody (to/into as) ingiza; simika; (US) ita jeshini. induction n 1 kuingiza, kusimika. 2 kudukiza umeme; kupitisha umeme. 3 matumizi ya visa kufikia kanuni/wazo la jumla. 4 (maths) hoja tama. 5 (US) kuitwa jeshini. ~ coil n pindi la kuingiza umeme. ~ -pipe n bomba la kuingiza umeme. ~ -valve n vali ya kuingiza umeme. inductor n kidukiza/kiingiza umeme. ~tive adj 1 -a kufuata mantiki kupata wazo la jumla. 2 -a kudukiza/ kuingiza umeme au sumaku.