adj 1 -a binafsi. 2 -a mmoja mmoja ~ help msaada wa mtu mmoja mmoja ~ problems matatizo ya binafsi. n 1 mtu binafsi. 2 (colloq) mtu, binadamu. individuallyadv. individualismn 1 ubinafsi. 2 nadharia ya ubinafsi. individualistn mbinafsi; mfuasi wa nadharia ya ubinafsi. individualisticadj -enye ubinafsi, -a kujipendelea; -a nadharia ya ubinafsi. individualityn 1 nafsi, (tabia, sifa za mtu binafsi). 2 hali ya pekee. 3 (usu pl)individualitiesn mapendeleo, matakwa ya mtu binafsi. individualizevt 1 bainisha, pambanua. 2 shughulikia kipekee/kimoja kimoja. individualizationn.