indignant

adj -a kuudhika, -enye uchungu (hasira, hamaki, hasa kwa sababu ya kudhulumiwa) feel ~ at something udhika kwa jambo fulani he was ~ to learn about the news alikasirishwa na habari. indignantly adv. indignation n uchungu,hasira (isababishwayo na dhuluma/tabia mbaya); msononeko.