n Uhindi ~ paper karatasi nyembamba sana. Indiamann (formerly) meli (iliyosafiri baina ya Uhindi na Ulaya). India-rubbern kifutio. Indiann 1 Mhindi. 2 American ~n/West ~n Mhindi mwekundu adj 1 -a Kihindi. ~ nOceann Bahari ya Hindi. ~n clubn rungu la mazoezi. ~n cornn mahindi. in ~ n file -moja baada ya ingine. ~n inkn wino mweusi agh hutengenezwa Uchina na Ujapani. ~n redadj -ekundu, udongo mwekundu. ~n summern mwisho wa majira ya joto; (US)(fig) kurudiwa na mawazo ya ujana uzeeni.