indent

vt,vi 1 tia pengo, bonyeza. 2 (in printing) jongeza msitari ndani you must ~ the first line of each paraghaph lazima kujongeza ndani msitari wa kwanza wa kila aya. 3 ~ (on somebody) for something (comm) agiza bidhaa kwa njia ya agizo maalum. n (comm UK) hati ya kuuza bidhaa nje; hati maalum ya kuagizia vitu. indentation n 1 kuagiza; kuagizwa. 2 pengo; kighuba; kujongeza.