indecent

adj 1 (of behaviour, talk etc) (immodest, obscene) -sio na heshima, -a aibu. ~ assault n shambulio la kuaibisha mtu hadharani. ~ exposure kuonyesha uchi hadharani. ~ behaviour n tabia mbaya. 2 (colloq) -sio sahihi, -siofaa. indecency n. indecently adv.