incompatible

adj ~ (with) kinyume; -siopatana, -siochukuana (na); -sioingiliana na excessive smoking is ~ with good health kuvuta sigara kupita kiasi ni kinyume cha afya bora. incompatibility n.