income

n mapato, chumo, pato, kipato live within one's ~ ishi kwa kutumia pato lake. national ~ n pato la taifa. ~ tax n kodi ya mapato.