incident

incident

1 adj ~ to (formal) -a kawaida/kutegemewa katika (jambo fulani) the social obligations ~ to life in diplomatic services shughuli za kijamii ambazo ni za kawaida katika kazi za kibalozi.

incident

2 n 1 kadhia, tukio. border ~ n tukio (la mapigano madogo) mpakani. 2 (in a play/poem) tukio katika mchezo/shairi. 3 (modern use) tukio linalozibwazibwa na utawala (ili lisijulikane). 4 tukio linalovutia wengi. incidental adj. ~al (to) 1 inayo-ambatana na (lakini si -a lazima). 2 -dogo -dogo; -a dharura; -a ziada. 3 -nayoweza kutokea; -a kawaida (katika mazingira fulani) discomforts ~ to pregnancy matatizo ya kawaida wakati wa ujauzito. incidentally adv.