incidence

n 1 jinsi jambo linavyoathiri mambo the ~ of disease jinsi ugonjwa ulivyoathiri (kwa kuenea, hatari zake n.k.). 2 (phys) tokeo angle of ~ pembe ya kuingilia.