inchoative

adj -a kuonyesha mwanzo wa tendo/hali. (gram) ~ verbs n vitenzi vianzishi (vya tendo/hali) k.m. get katika get dark na fall katika fall ill.