incendiary

n 1 (person) mchomaji mali (kwa moto) kwa nia mbaya. 2 mchochezi adj 1 -a kuchoma, -a kuteketeza; chochezi. 2 (bomb) -a kusababisha moto. incendiarism n.