incarnate

adj 1 -enye mwili (kiwiliwili), (of somebody's character) -enye umbo (hasa la binadamu) a devil ~ shetani mwenye umbo la binadamu. 2 (of an idea, ideal etc) -a kujitokeza kama binadamu. vt 1 -pa umbo la mtu; -pa mwili. 2 tekeleza wazo. 3 (of a person) -wa mfano wa binadamu (kisifa). incarnation n 1 kuwa na mwili; kuwa na umbo (hasa la binadamu). the incarnation n kupata mwili (kwa Yesu Kristo). 2 kuwa mfano halisi ( wa tabia n.k.).