inactive

adj 1 -a kimya, -liotulia, zima. 2 (dull) -vivu, -legevu, -zito. inactivate vt fanya kuwa tuli. inactivity n. inaction n kimya; kuzubaa.