impulse

n 1 msukumo give an ~ to endesha, sukumiza; (desire) shauku, raghba, hamu, mihemko ya ghafula. on the ~ of the moment mvuto wa ghafla insane ~ msukumo wa kiwazimu irresistible ~ msukumo usiozuilika. 2 mhemko wa ghafla on (an) ~ mara moja, bila kutafakari. impulsion n msukumo, kutaka kwa ghafla; kichocheo. impulsive adj (of persons, their conduct) -a msukumo; -a harara; -a kuamua ghafla. impulsively adv. impulsiveness n.