improvise

vt,vi 1 faragua. 2 tunga (tengeneza, vumbua) papo hapo ~d song wimbo uliotungwa wakati ulipokuwa ukiimbwa; tengeneza kwa haraka bila vifaa vyake hasa. improvisation n. ufaraguzi.