improve

vt,vi 1 endeleza; -wa -zuri zaidi; fanya vizuri zaidi. ~ on/upon tengeneza vizuri zaidi things are improving mambo yanaanza kutengemaa; (of health) pata nafuu. 2 tumia vizuri (wakati, faida, hali). improvement n 1 kuendeleza. 2 maendeleo; kufanya vizuri zaidi. improvable adj -enye kutengenezeka, -enye kustawishika.