improper

adj 1 -siofaa vulgar language is ~ before children lugha ya matusi haifai mbele ya watoto; -sio vizuri, si adabu it is ~ for children to shout while adults are talking sio vizuri kwa watoto kupiga kelele watu wazima wanapoongea. 2 (indecent) -chafu. 3 -sio sawa, sio sahihi. improperly adv. impropriety n utovu wa adabu, (indecency) upujufu, uchafu; jambo lisilofaa.