impromptu

adj -a papohapo, -siotayarishwa kabla ~ speech hotuba ya papo kwa papo (bila kutayarishwa kabla) adv papo hapo; bila maaandalizi he spoke ~ aliongea pale pale.