improbable

adj si yamkini, -sioelekea kuwa kweli; -sioelekea kufanyika I think the story is ~ ninafikiri hadithi hii si yamkini. improbably adv. improbability n kutoelekea kuwa kweli.