imprimatur

n (RC Church) kibali rasmi; ithibati ya kupiga chapa kitabu the book has received the ~ of the Government kitabu kimepata ithibati ya serikali; (fig) kibali, idhini.