impress

vt ~ (on/upon)/with 1 gandamiza, (imprint) piga chapa/ mhuri n.k. 2 (influence) shawishi; athiri, vutia ~ something on somebody's memory tia kwenye/athiri fikra za mtu I was not much ~ed sikuvutiwa sana how did that ~ him? jambo hilo lilimvutia namna gani? be favourably ~ed pendezwa mno. n chapa; alama ya muhuri. impression n 1 chapa, alama. 2 toleo, chapa (jumla ya nakala za vitabu zilizopigwa chapa pamoja). 3 (notion) fikra, wazo, maono; picha it is my ~ion nionavyo be under the ~ion that fikiria kwamba, pata picha/wazo, ona. impressionism n mbinu ya uchoraji, uandishi, uandikaji (usiotiwa madoido). impressionist n. impressionistic adj. impressionable adj -epesi kuathiriwa, -epesi kushawishika. ~ ionability n. impressive adj -a kuvutia; -enye kuathiri; -enye kuchochea hisia (za ndani) ~ive ceremony sherehe iliyovutia. impressively adv. impressiveness n.