impoverish

vt 1 fukarisha, fanya kuwa maskini. 2 (weaken) punguzia nguvu, dhoofisha, chakaza. impoverished adj maskini; -liochakaa, dhaifu. impoverishment n 1 umaskini, ufukara. 2 udhaifu.