impossible

adj -siowezekana; -siofanyika it is ~ for me to haiwezekani make it ~ for somebody to fanya iwe ngumu kwa mtu (kufanya) you are ~ wewe ni mtu mgumu, huwezekani. the ~ n kisichowezekana suppose the ~ fikiria jambo lisilowezekana (kutokea). impossibly adv. impossibility n kutovumilika.