impose

vt,vi 1 ~ on somebody amuru, lazimisha. 2 (exact) ~ on toza, lipiza ~ a tax on something toza kodi kitu. 3 ~ upon something tumia nafasi/nzuri/kasoro n.k. (kwa manufaa) ~ an obligation upon somebody lazimisha mtu ~ hands on somebody wekea mikono. imposing adj -a kuvutia (kwa sababu ya ukubwa, sura n.k). imposingly adv. imposition n kutoza; kuweka; kutumia (vibaya). imposition of something upon somebody kutoza mtu ushuru wa kitu imposition of conditions kuweka masharti.