impersonal

adj 1 -sioathiriwa na hisia (za mtu binafsi); -siohusishwa na mtu maalum. 2 (of verbs) vitenzi visivyohusishwa na vitu hai it is raining mvua inanyesha. 3 -sio a kibinadamu ~ forces nguvu za asilia (k.v. upepo). ~ ly adv.