adj 1 -a kifalme (hasa wa Kiingereza); -a kibeberu ~ laws sheria za ufalme/kifalme. 2 (grand, magnificent) bora, -kubwa. 3 (of weights and measures) -a Kiingereza ~ measurements vipimo vya Uingereza (k.v. painti, galoni. n 1 kionja mchuzi. 2 kipimo cha ukurasa (63 x 95 cm). imperiallyadv. imperialismn ubeberu (kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni). imperialistn. imperialisticadj. imperiousadj 1 -a kuamrisha he is very ~ anajiona; -a sharti. 2 -a haraka sana. imperiouslyadv. imperiousnessn. imperiumn dola, ufalme wenye mamlaka makubwa.