imperative

adj 1 -a haraka, muhimu, -a kuangaliwa mara moja. 2 -a kuamuru; (necessary) -a lazima, -a sharti. 3 -a kusikiwa, -a kutiiwa; -liotolewa (-liofanywa) kwa thabiti. n (gram) kitenzi cha kuamuru k.m. Go! Nenda! imperatively adv.