immortal

adj -a kuishi milele, -siokufa; -siosahauliwa n the ~s miungu ya Kiyunani na ya Kirumi; wasiokufa. immortality n maisha ya milele, uzima/uhai usio na mwisho, kutokufa; sifa njema ya milele/inayodumu. immortalize vt -pa maisha ya milele; -pa sifa za daima.