immobile

adj -sioenda; -siojijongeza; -sioweza kuendeshwa; tuli kabisa. immobilize vt -fanya isiweze kusogea/kujongea; simamisha kabisa, fanya jeshi/gari lishindwe kusonga mbele; zuia fedha zisitumike. immobilization n. immobility n.