immediate

adj 1 (instant) -a mara moja; -a sasa hivi ~ answers majibu ya mara moja. 2 (close) -a karibu sana; -a jirani the ~ relatives ndugu wa karibu the ~ heir to the throne mrithi wa ufalme anayefuata.