immaculate

adj safi kabisa, pasipo mawaa; pasipo kosa, pasipo dhambi. the ~ conception n (RC Church) Bikira Maria, Mkingiwa Dhambi ya Asili. immaculacy n. immaculately adv.