vt 1 iga, fuatisha, nakili it is advisable to ~ good manners ni bora kuiga tabia njema parrots ~ human speech kasuku huiga sauti ya binadamu. 2 fanana; fananisha na, wa kama apaper was designed to ~ a Bank note karatasi ilisanifiwa ili ifanane na noti ya benki. imitatorn mwigaji. imitationn 1 uigaji. 2 mfano, bandia. 3 mwigo imitations of animal cries miigo ya sauti za wanyama. imitativeadj -a kuiga; -a kufuatisha. imitativenessn.