image

n 1 sanamu, picha an ~ of Jesus Christ sanamu (picha) ya Yesu Kristo. 2 kifani, mfano, nakala he is the ~ of his father anafanana na baba yake God created man in his own ~ Mungu amemuumba binadamu kwa mfano wake. be the (very/spitting) ~ (of something/ somebody) fanana kabisa na mtu/kitu fulani. 3 taswira; fikra, dhana. 4 tamathali za usemi speak in ~ zungumza/andika kwa kutumia tamathali za usemi. 5 sura (kama inavyoonekana katika kioo, maji, kamera n.k.). vt 1 chora/chonga sanamu, picha (ya kitu fulani). 2 akisi. imagery n matumizi ya tamathali za usemi katika mazungumzo/ maandishi; sanamu, picha, michoro.