illustrate

vt 1 eleza kwa mifano, picha au kielezo. 2 chora picha/vielezo katika kitabu/jarida. illustrator n mchoraji picha/vielezo katika vitabu. illustration n 1 kielezo. 2 (explanation) kueleza kwa mifano. illustrative adj -enye kutoa ufafanuzi au mifano kwa jambo fulani. illustrious adj maarufu, mashuhuri; adhimu. illustriously adv.