illuminate

vt 1 tia nuru, angaza, mulika. 2 pamba (barabara n.k.) kwa taa. 3 pamba herufi kwa rangi ya dhahabu. 4 (explain) eleza, fafanua. illumination n 1 mwanga, nuru, mwangaza. 2 (pl) (coloured illustration) herufi za mapambo za rangi ya dhahabu/fedha; rangi za kumetameta. 3 (usu pl) kupamba mji (barabara n.k.) kwa taa; taa za kupambia mji (barabara n.k.). illumine vt (liter) 1 tia nuru. 2 -pa mwanga wa kiroho.