idyll

n 1 masimulizi mafupi (hasa mashairi) ya habari za maisha ya shambani/vijiji. 2 kipindi cha amani na furaha. idyllic adj -zuri sana; -a kupendeza sana (kuhusu maisha ya shambani).