idol

n 1 sanamu; kijimungu. 2 (great favourite) kipenzi he is the ~ of his parents anapendwa na wazazi wake. idolater n 1 mwabudu sanamu, mwabudu kijimungu. 2 mpenzi. idolatress n mwanamke mwabudu sanamu. idolatrous adj -a kuabudu sanamu. idolatrously adv. idolatry n 1 kuabudu sanamu; mapenzi makubwa. idolize vt abudu kama mungu; penda mno. idolization n.