ideal

adj 1 -lio bora, kamilifu. 2 (unreal, fanciful) -a njozi. n maadili/ wazo/mfano bora/kamilifu. ideally adv. idealize vt fanya/ona kama kamilifu. idealization n. idealism n 1 kanuni za maisha fulani. 2 (in art) (opposite of realism) ulimbwende. 3 (in philosophy) udhanifu.idealist n mdhanifu. idealistic adj.