icon

n taswira (in the Eastern Church) ikoni: sanamu/picha ya mtakatifu, sanamu/picha takatifu. ~clast n mpinzani wa mila ya kuabudu sanamu k.m. katika Ulaya Mashariki na Walokole wa Uingereza katika karne ya 17; (fig) mtenguamila.