1n 1 barafu. break the ~(fig) anza kuchangamkiana na mgeni; anza kitu kigumu/nyeti; vunja ukimya cut no ~(with somebody) -toathiri; -toingia. keep something on ~ weka kwenye friji/jokofu; (fig) weka akiba be skating on thin ~(fig) tembea mleoleoni, chezea hatari. 2 chakula kitamu kilichogandishwa. cream ~sn malai. 3 (compounds)~ Agen Enzi ya Barafu. ~ bergn siwa barafu; (fig) mtu baridi. iceboatn mashua barafu. ~ boundadj(of harbours, etc.) -liokingwa na barafu. iceboxn sanduku la barafu (la kuwekea chakula). icecapn kilele barafu (k.m. kilele cha mlima wa Kilimanjaro). ice-creamn aiskrimu. ~cuben kipande cha barafu (agh. kilichogandishwa katika friji). ~ falln poromoko barafu. ~fieldn uwanda barafu. ~floen barafu tandavu (inayoelea).~-lollyn shikirimu ya kijiti. ~ mann(US) mtembeza/ muuza barafu. ~packn mapande ya barafu yaliyotanda juu ya bahari; mfuko wa barafu (agh. hutumika kutuliza homa). ~-shown maonyesho juu ya barafu. icepickn chombo cha kuvunjia barafu. ~rinkn uwanja wa ndani wa barafu. ice-skaten kiatu cha kutelezea barafuni.
ice
2vt,vi 1 fanya kuwa baridi sana. ~d drinksn vinywaji baridi sana. 2 ~ over/up funika, funikwa na barafu;tanda kwa barafu the pond was ~d over bwawa lilifunikwa na barafu. the wings of the aircraft had ~d up mabawa ya eropleni yafunikwa na barafu. 3 funika (agh. keki) kwa sukari unga.