hypnosis

n kiinimacho; hiponozi: hali ya kuwa kama katika usingizi mzito ambapo mtu anaweza kukuamrisha na wewe ukatenda bila kujijua. hypnotic adj. hypnotism n. hypnotize vt laza/pumbaza akili. hypnotist n mtu apumbazaye akili.