hyper
pref -a zaidi, -a kupita kiasi. hyperbole n mbalagha: kutia chumvi sana katika kuelezea kitu. hyperbolic adj. hypercritical adj -enye kukosoa mno, -enye kuhakiki mno, -enye kutafuta makosa. hypermarket n duka kuu (lenye eneo kubwa na aina zote za bidhaa agh nje ya mji).