hymn

n wimbo wa kidini (wa kumsifu Mungu). vt tukuza Mungu kwa kuimba. hymnal n kitabu cha nyimbo za dini.